Monday, March 19, 2012

Mungu ni mwema

Karibuni wote

5 comments:

  1. Watu dhaifu hulipiza kisasi, watu wenye nguvu husamehe lakini watu wenye akili hupotezea

    ReplyDelete
  2. “Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa” (Ufunuo 12:11)

    ReplyDelete
  3. Mungu ni pendo apenda watu Mungu ni pendo anipenda

    ReplyDelete
  4. Wewe Rubafu mambo mazuri hayahitaji haraka, unatakiwa kutoa mchango wako kwenye mada mbalimbali zitakazokuja. Hapo kwanza tulikuwa kwenye majaribio. Karibu sana.

    ReplyDelete